UHAKIKI WA CHETI CHA KUZALIWA AU KIFO KWA AJILI YA MAOMBI YA MKOPO 2023

Umemaliza kidato cha sita?

Unahitaji kuhakiki cheti chako cha kuzaliwa au Cheti cha kifo cha mzazi.

Unapenda kufahamu utaratibu wa kuomba mkopo wa elimu ya juu 2023

Husiangaike au kupoteza muda na pesa kwenda Stationary kufanya application

  • Tuna kusaidia kukamilisha kila kitu kwa uhakika na ufanisi zaidi.
  • NL Consultants wanakusaidia kuhakiki Vyeti vyako na kukupatia majibu yako kwa wakati.
  • Utapewa Uthibitisho wa uhakiki wa cheti chako kabla ya kutoa pesa. 

UTARATIBU

  • Utajaza Fomu hii chini kwa ajili ya kututumia cheti au vyeti
  • Tutakujazia na kuhakiki cheti chako
  • Gharama za kuhakiki Cheti kimoja Serikalini ni Elf 3 (3,000)
  • Gharama Kwa ajili yetu ni elf 5 kwa Cheti kimoja na Elfu 7 kwa vyeti viwili na Elf 10 Kwa vyeti vitatu. (MALIPO BAADA YA KAZI)
JAZA HII FOMU KUTUMA TAARIFA ZAKO ILI KUSAIDIWA

OFISI ZETU

NL Consultants

Ubungo External, Dar es Salaam

0757662630

E-mail: apply@consultants.newslinetz.com

Website: consultants.newslinetz.com